Salafi Da'wah East Africa
                                
                            
                            
                    
                                
                                
                                February 10, 2025 at 09:37 AM
                               
                            
                        
                            Imepokewa kutoka kwa Aisha na Ummu Salamah -Allah awe radhi nao:
*Kuwa Mtume wa Allah ﷺ ilikuwa inampata alfajiri hali kuwa ana janaba kutokamana na ahli/wake zake, kisha akioga na kufunga*
📗Sahihul Bukhari 1925
════ ❁✿❁ ════
*Salafi Da'wah East Africa (Salafi Da'wah Afrika Mashariki)*
https://whatsapp.com/channel/0029VabMSx07tkj3R6Dou41f
                        
                    
                    
                    
                    
                    
                                    
                                        
                                            ❤️
                                        
                                    
                                    
                                        2