
Salafi Da'wah East Africa
February 11, 2025 at 04:39 PM
*🚫BIDA' KATIKA USIKU WA NUSU YA SHA'BAAN*
*_Miongoni mwa yanayotakikana kutanabahisha juu yake katika yatakayokuja katika nusu ya huu mwezi (wa Sha'baan ) ni mambo waliyoyazua watu.._*
*_Na miongoni mwayo ni:_*
*_1-baadhi ya watu kukhusisha usiku wa nusu ya Sha'baan kwa swala au kusimama usiku pasi na masiku mengine, na kuhuyisha usiku huo kwa dhikr na dua na kusoma Qur'ani, basi hili ni bid'a katika dini upotofu, hakulifanya Mtume صلى الله عليه وسلم wala maswahaba wake, na hiki kitendo ni chenye kurejeshwa kwa mwenyewe (aliyetenda), Allah عز وجل haikubali._*
*_2-kuusherekea usiku huu, na kuwakunjulia familia katika chakula na vinywaji na mavazi, na mfano wa hayo, na kuukhusisha usiku huo pekee kati ya masiku kwa kuitakidi ubora wake, na kuwa ni bora kuliko masiku mengine , na hili ni katika jambo ambalo halikuja katika sheria kulifanya, wala hakulipendekeza yeyote miongoni mwa maswahaba wala tab'iin رحمهم الله, na kisichokuwa dini wakati huo hakitakuwa dini leo._*
📗[Khutba: Ahkaamu shahri sha'baan; ya Sheikh Khalid Adh-dhafiry-Allah amhifadhi]
════ ❁✿❁ ════
*Salafi Da'wah East Africa (Salafi Da'wah Afrika Mashariki)*
https://whatsapp.com/channel/0029VabMSx07tkj3R6Dou41f
❤️
📛
2