
Salafi Da'wah East Africa
February 13, 2025 at 03:22 AM
Alisema Mtume ﷺ:
*Alisema Allah: kila amali ya mwanadamu ni yake yeye (amebainishiwa kiwango cha malipo yake, jema moja analipwa mara kumi yake hadi mara mia saba na zaidi) isipokuwa swaum, kwa hakika ni yangu mimi (hajui thawabu yake ila Allah), na mimi ndiye nitakayeilipa*
📗Bukhari 1904 Muslim 1151
════ ❁✿❁ ════
*Salafi Da'wah East Africa (Salafi Da'wah Afrika Mashariki)*
https://whatsapp.com/channel/0029VabMSx07tkj3R6Dou41f
❤️
🙏
4