Salafi Da'wah East Africa
February 26, 2025 at 09:44 AM
Alisema Mtume ﷺ:
_*Atakayemfuturisha aliyefunga atapata mfano wa thawabu yake, pasi na kupungua chochote kutoka kwa thawabu ya aliyefunga*_
📗Sahihu tirmidhi 807
════ ❁✿❁ ════
*Salafi Da'wah East Africa (Salafi Da'wah Afrika Mashariki)*
https://whatsapp.com/channel/0029VabMSx07tkj3R6Dou41f
❤️
2