Salafi Da'wah East Africa
February 27, 2025 at 06:55 AM
Alisema Mtume ﷺ:
_*Asiyeacha maneno ya haram na kuifanyia kazi haram (matendo yaliyoharamishwa), basi Allah hana haja ya kuacha kwake chakula chake na kinywaji chake*_
📗Sahihul Bukhari 1903
════ ❁✿❁ ════
*Salafi Da'wah East Africa (Salafi Da'wah Afrika Mashariki)*
https://whatsapp.com/channel/0029VabMSx07tkj3R6Dou41f