Salafi Da'wah East Africa
Salafi Da'wah East Africa
February 28, 2025 at 03:32 AM
*FUNGA NA FUNGUA NA WAISLAMU KATIKA NCHI ULIYOKO (2)* 2- IBNU 'UTHEYMIIN -ALLAH AMREHEMU: *_"...Lakini ikiwa miji iko chini ya  hukmu moja, na akaamrisha kiongozi wa nchi watu kufunga, au kufungua basi inawajibu kufuata amri yake, kwa sababu ni mas'ala walioyokhtalifiana ulamaa ndani yake, na hukmu ya kiongozi inaoondosha khilaaf._* _*Na kwa ajili hii fungeni na mufungue kama wanavyofunga na kufungua watu katika nchi mliopo ndani yake, na vivyo hivyo Arafah fuateni nchi mliyoko ndani yake.*_ 📙Chanzo: [Majmu' fatawa (vol 19 uk 41)] _*Na watu sasa hivi wanalifanyia kazi hili; kuwa itakapothibiti kwa kiongozi basi inawalazimu wote walio chini ya uongozi wake kufunga na kufungua, na hili kwa upande wa kijamii ni kauli yenye nguvu, hata lau tutasahihisha kauli ya pili; tunayohukumu kukhtalifiana matwali', inawajibu kwa anayeona mas'ala imejengwa juu ya kukhtalifiana matwali' kutokudhihirisha kukhalifu yale waliyo juu yake watu.*_ 📙Chanzo: [Ash-Sharhul mumti' (6/311)] ════ ❁✿❁ ════ *Salafi Da'wah East Africa (Salafi Da'wah Afrika Mashariki)* https://whatsapp.com/channel/0029VabMSx07tkj3R6Dou41f
🎯 😳 2

Comments