SITTA SPORTS ARENA
February 9, 2025 at 06:48 AM
*MADRID DABI YAMALIZIKA KWA SARE⚽*
*Jana majira ya saa Tano kamili usiku ulipigwa mchezo kati ya Watani wawili kutoka Jiji la Madrid Nchini Uhispania. Ambapo mchezo huo huzikutanisha Timu kubwa mbili REAL MADRID na ARTETICO MADRID*
*Mpaka dakika 90 kumalizika mchezo huo uliisha kwa wababe hao kutoshana nguvu kwa bao moja kwa Moja👇*
*Real Madrid 1-1 Atlético de Madrid*
*⚽ 35' Julián Alvarez*
*⚽ 50' Mbappé*
SITTA SPORTS UPDATES ⚽
👍
1