SITTA SPORTS ARENA
SITTA SPORTS ARENA
February 10, 2025 at 10:43 PM
*ALICHOSEMA KOCHA WA YANGA⚽👇* *“Ukiwa unafukuzia ubingwa ni ngumu kukaa kileleni, ni bora kukaa nafasi ya pili ukiwa unampumulia kinara wa ligi, narudia tena hakuna kazi ngumu kama kukaa kileleni”* *“Sijapendezwa na refa, muda wote alisimamisha mchezo na kupoteza muda”* *🗣️__Miloud Hamdi*

Comments