SITTA SPORTS ARENA
SITTA SPORTS ARENA
February 14, 2025 at 01:01 PM
*SOWAH NA YANGA NI FAMILIA ⚽* *Mshambuliaji hatari wa Singida Black Stars, Jonathan Sowah ameelezea mapenzi yake na klabu ya Yanga ambapo ameitaja Yanga Sc kama nyumbani kwake huku akimtaja Rais wa klabu hiyo Engineer Hersi Said kama baba kwake.* *“Yanga ni nyumbani, hata nilivyopata ofa ya Singida niliwaambia. Rais wa Yanga ni kama baba, najua alichofanya kwangu na kutengeneza maisha yangu, mimi sio mtanzania ila napenda namna watanzania wanavyowapokea watu, ni jambo la muda ipo siku nitacheza Yanga”* *🗣️__amesemanyota huyo wa zamani wa Medeama ya Ghana.* SITTA SPORTS UPDATES ⚽

Comments