
SITTA SPORTS ARENA
February 14, 2025 at 01:09 PM
*KAMDOMO KAMDOMO!!😁⚽*
*Kamati ya Uendeshaji na Usimamizia wa Ligi imempeleka kwenye kamati ya maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga Alli Shaban Kamwe kwa tuhuma za Kutenda makosa ya Kimaadili kipitia machapisho yake kwenye kurusa za mtandao wa kijamii wa Instagram.*
*Kupitia ukurasa wake wa Instagram Ali Kamwe alichapisha ujumbe Ufuatao👇*
*“Leo Asilimia 90 ya mijadala iliyofanywa kwenye vipindi vya Michezo, Wachambuzi wamejadili kuhusu Makosa ya Waamuzi kwenye mechi ya Kolo.*
*Na leo sio mara ya kwanza, Huu ni muendelezo. Ni kama Mechi ya 10 Mfululizo, Kila mechi ya Kolo huwa na Mijadala redioni kuhusu Makosa ya Waamuzi yanayowanufaisha KOLO kupata Ushindi*
*Mara wapinzani wanayimwa Magoli Halali, Mara mjadala wa Kolo akifunga Magoli ya Offside na waamuzi wanayakubali. Tumesikia pia Mijadala ya Penalti nyingi za mchongo zikiwanufaisha Makolo.*
*This is Is Too Much .. Na inatupa Wasiwasi kama WANANCHII*
SITTA SPORTS UPDATES ⚽