SITTA SPORTS ARENA
February 17, 2025 at 07:30 AM
*KUELEKEA MCHEZO WA LEO DHIDI YA YANGA ⚽*
*Kocha Singida Black Stars anatarajiwa kubadili kikosi leo na kuwapa nafasi wazawa wengi ikiwa ni sehemu ya kuwapumzisha mastaa wake kutokana na ugumu wa ratiba.*
SITTA SPORTS UPDATES ⚽
👍
1