SITTA SPORTS ARENA
February 18, 2025 at 10:14 PM
*WAZEE WA YANGA WAMVAA JEMEDARI⚽*
*Jana Wazee wa Yanga wamekutana na waandishi wa Habari na kutoa malalamiko yao mbalimbali ikiwemo kumtaja CEO wa klabu ya JKT Tanzania na mchambuzi wa kandanda nchini Jemedari Said Kuwa amekuwa mara kadhaa akiiongerea Timu Yao vibaya hasa inapopata ushindi*
SITTA SPORTS UPDATES ⚽