SITTA SPORTS ARENA
SITTA SPORTS ARENA
February 19, 2025 at 03:10 PM
*PAMBA YAPIGWA STOP KIGOMA 😆⚽* *Baada ya muda mrefu kupita bila ushindi Leo Timu ya MASHUJAA FC yenye maskani Yake Mkoani Kigoma imepata Radha ya ushindi wa Ligi kuu baada ya kuichalaza PAMBA JIJI FC kutoka MWANZA mabao mawili kwa sifuri* SITTA SPORTS UPDATES ⚽

Comments