SITTA SPORTS ARENA
SITTA SPORTS ARENA
February 22, 2025 at 05:01 AM
*RONALDO ANACHOMZIDI MESSI NI MIAKA TU⚽* *Miongoni mwa wachezaji wakongwe ambao ni wababe na wanaojiamini ni Mswideni Zlatan Ibrahimovic, nyota huyu anasifika kwa kauli zake ambazo mara nyingi huwa tata zinazozua maswali mengi.* *Moja ya kauli hizo ni alipouliza katika moja ya mahojiano mwaka 2022 kuhusu mjadala wa “Ni nani mchezaji bora wa muda wote katika mchezo wa soka?”. Zlatan kwa kujiamini alijibu “Kitu pekee ambacho Ronaldo amemzidi Messi ni Umri Tu”🗣️__Alisema Zlatan Ibrahimovic* SITTA SPORTS UPDATES ⚽

Comments