SITTA SPORTS ARENA
SITTA SPORTS ARENA
February 22, 2025 at 05:31 PM
*MZIZIMA DABI KUPIGWA KWA MKAPA⚽* *Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imesema mchezo kati ya Simba SC dhidi ya Azam FC utafanyika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam Februari 24, 2025 saa 1:00 usiku.* *Mchezo huo ulipangwa kufanyika kwenye Uwanja wa KMC Complex Februari 24, 2025 kuanzia saa 10:00 jioni.* *Bodi ya Ligi imesema sababu ya mabadiliko hayo ni kutoa nafasi kwa mashabiki wengi zaidi kuhudhuria mchezo huo.* SITTA SPORTS UPDATES ⚽

Comments