
SITTA SPORTS ARENA
February 28, 2025 at 03:24 PM
*KACHEZA LEO⚽*
*Winga mpya wa yanga Jonathan Ikangalombo amepewa nafasi katika mchezo dhidi ya PAMBA JIJI FC yenye maskani Yake Jijini MWANZA. Jonathan amepewa nafasi na mwalimu kwa mara ya kwanza Toka amesajiriwa akitokea As Vita club ya Nchini DRC CONGO.*
*Je umekionaje kiwango chake!?*
*Dakika 90 Mwisho wa mchezo PAMBA JIJI FC 0-3 YANGA SC*
*⚽ C. BOKA 28*
*⚽ AZIZ KI 74, 76*
SITTA SPORTS UPDATES ⚽