Nurul Kitab Wa Sunnah
Nurul Kitab Wa Sunnah
February 11, 2025 at 03:54 PM
*SWALI NA JAWABU KATIKA HUKUMU ZA SWAUMU* *SWALI LA 37* •┈┈••••○○❁🌷❁○○••••┈┈• *[SAUMU/FUNGA YA MWANAMKE MWENYE MIMBA NA MWENYE KUNYONYESHA]* صيام الحامل والمرضع Saumu/funga Ya (Mwanamke) Mwenye Mimba na mwenye kunyonyesha س: *إذا أفطرت الحامل أو المرضع بدون عذر، فهي قوية ونشيطة، ولا تتأثر بالصيام، فما حكم ذلك ؟* Swali: *Ni ipi hukumu ya mwanamke mwenye mimba au mwenye kunyonyesha, ambaye amekula mchana wa Ramadhani bila ya udhuru/sababu ya kisheria, hali ya kuwa ni mzima mwenye nguvu, na wala hapati madhara yoyote endapo atafunga?* ج: *لا يحل للحامل أو المرضع أن تفطرا في نهار رمضان إلا للعذر ، فإذا أفطرتا للعذر؛ وجب عليهما قضاء الصوم، لقول الله تعالى في المريض: ﴿وَمَن كَانَ مَرِيضًا أَوْ عَلَى سَفَرٍ فَعِدَّةٌ مِنْ أَيَّامٍ أُخَرَ} ،* Jawabu: *Haifai kwa mwanamke mwenye mimba au kunyonyesha kula mchana wa Ramadhani isipokuwa kwa sababu za kisheria, na endapo atakula mchana (wa Ramadhani) kwa sababu za kisheria, itwajibika juu yake kulipa siku hiyo, kama alivyosema Allaah kuhusu mgonjwa:* *[Na mwenye kuwa mgonjwa au safarini, basi atimize hisabu katika siku nyingine].* Surat Al-Baqara/185. *وهما بمعنى المريض وإذا كان عذرهما الخوف على الولد؛ فعليهما مع القضاء عند بعض أهل العلم، إطعام مسكين لكل يوم؛ من البر، أو الرز، أو التمر، أو غيرها من قوت الآدميين* *Nao pia hukumu yao ni sawa na mgonjwa, na ikiwa udhuru wao ni hofu kwa mtoto; Kwa mujibu wa baadhi ya wanachuoni, pamoja na kufidia saumu, ni lazima walishe masikini mmoja kwa kila siku. Kwa pishi la ngano, wali, tende, au vyakula vingine vya binadamu (vinavyopendwa katika Mji).* *وقال بعض العلماء: ليس عليهما سوى القضاء على كل حال؛ لأنه ليس في إيجاب الإطعام دليل من الكتاب والسنة، والأصل براءة الذمة حتى يقوم الدليل على شغلها، وهذا مذهب أبي حنيفة رحمه الله، وهو قوي.* *Baadhi ya wanachuoni wamesema: Ni lazima tu kufidia kwa kila hali, Kwa sababu hakuna ushahidi wa faradhi ya kulisha kutoka katika Qur-aan na Sunnah, na kanuni ya msingi ni kuwa faradhi hiyo inasafishwa mpaka ithibitike kuwa imetolewa, Haya ni mafundisho ya Abu Hanifa, Allah amrehemu, na (Kauli) yake, ni yenye nguvu.* *كتاب؛ 📚سؤال وجواب في أحكام الصيام ❪تأليف الفضيلة الشيخ محمد بن صالح العثيمين❫ - رحمه الله تعالى* •┈┈••••○○❁🌷❁○○••••┈┈• Mfasiri: Sheikh *Abuu Halima Arafat mahmoud* - Allah amhifadhi Penda 👍 Fuata 🔔 Sambaza 🖇️ •┈┈••••○○❁🌷❁○○••••┈┈• Sambaza na ungana na chaneli zetu:- ╭── ••⇣⇣🔴 *YOUTUBE* 🔴 ╰┈➢ https://www.youtube.com/@Nurul_Kitab_Wa_Sunnah ╭── ••⇣⇣🪀 *WHATSAPP* 🪀 ╰┈➢ https://whatsapp.com/channel/0029Va7tZ1x3gvWdMZi3cc2d ╭── ••⇣⇣🔵 *TELEGRAM* 🔵 ╰┈➢ https://t.me/Nurul_Kitab_Wa_Sunnah ╭── ••⇣⇣🔘 *FACEBOOK* 🔘 ╰┈➢ https://www.facebook.com/profile.php?id=61559935071055 ╭── ••⇣⇣🔴 *INSTAGRAM* 🔴 ╰┈➢ https://instagram.com/nurul_kitab_wa_sunnah ╭── ••⇣⇣⚫ *TIKTOK* ⚫ ╰┈➢ https://www.tiktok.com/@nurul_kitab_wa_sunnah @Nurul_Kitab_Wa_Sunnah

Comments