
Nurul Kitab Wa Sunnah
24.1K subscribers
About Nurul Kitab Wa Sunnah
๐ *NURUL KITAB WA SUNNAH* _"Kutafuta elimu ni faradhi juu ya kila Muislamu."_ *ุทูุจ ุงูุนูู ูุฑูุถุฉ ุนูู ูู ู ุณูู * Karibu kwenye chaneli yetu ya elimu ya Kiislamu yenye msingi wa *Qur-aan na Sunnah* kwa ufahamu wa Salafus Swaalih. Hapa tunajifunza, tunakumbushana na kujenga maarifa ya Dini kwa njia sahihi na ya uhakika. ๐ *Penda, Fuata, na Sambaza kheri hii kwa wengine.* โขโโโขโขโขโขโโโ๐ทโโโโขโขโขโขโโโข *๐ Ungana nasi YOUTUBE, TELEGRAM, WHATSAPP, INSTAGRAM, na TIKTOK kwa mafunzo zaidi*
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

*๐ TAARIFA MUHIMU KUHUSIANA NA SHEIKH WETU ABUU ZUBEIDAH MAULID HAROUN (ALLAH AMUHIFADHI).* Mnaarifiwa kuwa: Akaunti ya Telegram ya Sheikh Abuu Zubeidah Maulid Haroun imedukuliwa na watu wasiojulikana. Kwa hivyo: โ ๏ธ USIAMINI UJUMBE WOWOTE UNAOTUMWA KUPITIA TELEGRAM KWA JINA LAKE. โ ๏ธ EPUKA KUFUATA MAELEKEZO YOYOTE UTAYAPEWA NA MDUKUZI HUYO. ๐ข SHIRIKI TAARIFA HII kwa wenzako ili kuepusha madhara! โ๐ผ Abuu Iptysaam Issa Awadhi _______________________________ _๐กKwa faida zaidi za Kielimu kutoka kwa Sheikh Abuu Zubeidah Maulid Haroun ungana nasi katika channel ya Telegram kupitia kiunganishi hiki: https://t.me/sheikhabuuzubeidah_





*GRAPHICS INFOS* ZUIA UDUKUZI TELEGRAM TAZAMA VIDEO HIZI ZUIA UDUKUZI ๐๐๐ https://youtu.be/unS0O2HNLnk?si=E1DIxxoS8tOq_8kc VIJUE VIUNGANISHI (LINKS) VISIVYO SALAMA ๐๐๐ https://youtu.be/wM7qK437tmg?si=xm0nYZrOLvcWy8om *@GraphicsInformationsTz*







ALHAMDULILLAH


*DUA BAADA YA KUAMKA KUTOKA USINGIZINI* ุงูุญูู ููุฏู ูููููู ุงููุฐู ุฃูุญูููุงูุง ุจูุนููุฏู ู ุง ุฃูู ุงุชูููุง ููุฅููู ุงูููููุดูุฑ Matamshi: AlhamduliLLaahil-LLadhiy Ahyaanaa baโda maa amaatana wa Ilayhin-nushuwr Maana: Himdi Anastahiki Allaah Ambaye Ametupa uhai baada ya kutufisha na ni Kwake tu kufufuliwa Hadiyth ya Hudhayfah bin Al-Yamaan na Al-Baraa bin โAazib (ุฑุถู ุงููู ุนููู ุง) - Al-Bukhaariy pamoja na Al-Fat-h (11/113), Muslim (4/2083) *DUA KABLA YA KULALA* ๐๐๐๐ https://youtu.be/UwEFiI3SCYI?si=OCFvWOmFdZ7gnOXn _Usiisahau Kufuata (subscribe) channel yetu - sambaza_

