Nurul Kitab Wa Sunnah
Nurul Kitab Wa Sunnah
February 21, 2025 at 06:18 AM
*SWALI NA JAWABU KATIKA HUKUMU ZA SWAUMU* *[TANBIH MUHIMU SAANA]* •┈┈••••○○❁🌷❁○○••••┈┈• *Saumu/funga ya wajibu ni kama vile: Ramadhani, Nadhiri, Kafara. Ikiwa mtu anadaiwa baadhi ya masiku katika mwezi wa Ramadhani, aliacha kufunga kwa sababu ya maradhi n.k, kisha baada ya kupona hakuwahi kulipa siku mpaka amefariki, basi jamaa zake wanahiyari baina ya kufunga kwa niaba yake au kulisha maskini. Kadhaalika mtu aliyeweka nadhiri au mwenye funga ya kafara, jamaa zake watafunga au watalisha masikini.* Swala na Salamu zimshukie Mtume wetu, Jamaa zake na Maswahaba wote Namuomba Allaah atutakabalie amali yetu hii na atuwafikishe *[MWISHO]* *كتاب؛ 📚سؤال وجواب في أحكام الصيام ❪تأليف الفضيلة الشيخ محمد بن صالح العثيمين❫ - رحمه الله تعالى* •┈┈••••○○❁🌷❁○○••••┈┈• Mfasiri: Sheikh *Abuu Halima Arafat mahmoud* - Allah amhifadhi Penda 👍 Fuata 🔔 Sambaza 🖇️ •┈┈••••○○❁🌷❁○○••••┈┈• Sambaza na ungana na chaneli zetu:- ╭── ••⇣⇣🔴 *YOUTUBE* 🔴 ╰┈➢ https://www.youtube.com/@Nurul_Kitab_Wa_Sunnah ╭── ••⇣⇣🪀 *WHATSAPP* 🪀 ╰┈➢ https://whatsapp.com/channel/0029Va7tZ1x3gvWdMZi3cc2d ╭── ••⇣⇣🔵 *TELEGRAM* 🔵 ╰┈➢ https://t.me/Nurul_Kitab_Wa_Sunnah ╭── ••⇣⇣🔘 *FACEBOOK* 🔘 ╰┈➢ https://www.facebook.com/profile.php?id=61559935071055 ╭── ••⇣⇣🔴 *INSTAGRAM* 🔴 ╰┈➢ https://instagram.com/nurul_kitab_wa_sunnah ╭── ••⇣⇣⚫ *TIKTOK* ⚫ ╰┈➢ https://www.tiktok.com/@nurul_kitab_wa_sunnah @Nurul_Kitab_Wa_Sunnahh

Comments