Nurul Kitab Wa Sunnah
Nurul Kitab Wa Sunnah
February 27, 2025 at 12:28 PM
*🌹WAKATI WA KUTAFUTA MCHUMBA* ```(USIWEKE MASHARTI MENGI.)``` Amesema Sheikh Swaleh Alfawzani حفظه الله تعالى : Usitie ugumu na uzito saana katika Sifa na Vigezo vya Mchumba bali Wewe angalia tu kama ni mwema katika Dini yake na amesimama katika Twa'a ya Allāh huyo hakika ana kheri In Shaa Allâh. الإجابات المختصرة. https://whatsapp.com/channel/0029Va7tZ1x3gvWdMZi3cc2d
❤️ 1

Comments