
Fuad_fx
February 3, 2025 at 02:16 PM
Forex inahitaji ujasiri mkubwa🔥, sio tu kuanza, bali pia kuendelea nayo. Ni safari ambayo wengi huianza kwa hamasa, lakini wachache hufika mbali.
Kwa mfano, nilianza na zaidi ya watu 60 darasani 📚, tukapungua hadi 20, na sasa hatufiki hata watatu 🤷♂️. Hii inaonyesha jinsi forex inavyohitaji uvumilivu na uthabiti 💪.
Ni kama mtu anayekwenda ukweni kwa mbwembwe 😎🎉, lakini wakati wa kurudi, analazimika kuomba nauli kwa baba mkwe 😅💸!
😂
❤️
4