Fuad_fx
Fuad_fx
February 5, 2025 at 05:13 AM
*Katika Kundi Hili Kuna Aina Mbalimbali za Watu! 🔥* 📉📈 🔴 *Wanaopata Loss* – Wapo wanaopambana lakini bado wanakutana na hasara. Wanajifunza kwa makosa yao, wakijua kuwa forex ni safari! 🟡 *Wanaoogopa Kuingia Trade* – Wanasubiri market itembee kwanza, halafu waje kusema “Eeh kumbe ilikuwa hivi!” Au ikigusa SL waseme “Nilijua tu!” Wamekuwa kama waganga wa jadi! 🧙‍♂️😂 🔵 *Wanaopotosha Wengine* – Hawa wanajifanya wanajua kila kitu, lakini kazi yao ni kuingia DM za watu na kuwachanganya kuhusu mentor wao! 🚫 🟢 *Wanaopigania Ndoto Zao –* Hawa ni wachache, lakini ni watu wa maamuzi, wanafuata maelekezo na wanaelewa kuwa forex ni game ya uvumilivu! 💪🚀 ⚫ *Waliokuja Kusindikiza –* Wao ni macho tu! Hawafanyi chochote, wanapiga moyo konde, wanasubiria matokeo ya wengine. 🤷‍♂️👀 🟠 *Waliokata Tamaa –* Wameweka group mute, wanafungua siku wakihisi wanataka kuona kilichoendelea. Wamechoka lakini bado wanashawishika kurejea! 😞 🟣 *Waliopoteza Mitaji* – Waliwahi kuwa na pesa, lakini walikuwa wazembe kufuata maelekezo. Sasa wanahaha kutafuta mtaji wa kurudi sokoni! 💸😓 🔴 *Wanaoshirikiana na Watu wa Nje* – Wanaiba signals humu, halafu wanakwenda kusema ni zao! 😂 Watu wa shortcut, lakini mwisho wa siku ukweli unajulikana. 🚔 🟤 *Demo Trader Mlevi wa Demo* – Amezoea demo kiasi kwamba akigusa real, anahisi kama amegusa kaa la moto! 😂🔥 Sasa, jiulize wewe ni kundi gani? 🤔🔥
😂 2

Comments