Fuad_fx
Fuad_fx
February 5, 2025 at 05:36 AM
Mtu Anashangaa Entry Ina 10K Pips, Anasema Haiwezekani! 🤦‍♂️😂 Sasa mimi siwezi kumpiga wala kumlazimisha aamini—kwa sababu ameamua kubisha! 🤷‍♂️ Lakini anashindwa kujiuliza… entries zote za VIP za wiki iliyopita sasa hivi zina 1K+ pips! 😊📈 Na kama hizo za wiki zilizopita zilifikia 1K+ pips, basi zile za nyuma zaidi—kama ningeshikilia entries zote za Januari—zisingekuwa chini ya 3K pips! 😏🔥 Ushauri wangu? Soma mkuu! Haya mambo ni rahisi sana ukielewa. Unapochambua entry, inakuchukua wastani wa dakika 5 tu! ⏳📊🔥
👍 🔥 😂 3

Comments