
Fuad_fx
February 6, 2025 at 06:32 PM
Kila trade unayoingia itakuwa na siku yake ya mwisho, na hutajua ni lini itafika—iwe ni TP 🎯 au SL ❌. Ndiyo maana ni muhimu kuwa na mpango madhubuti 📊, kudhibiti hatari ⚖️, na kutokuweka hisia kwenye soko 💡. Forex ni safari isiyo na uhakika, lakini ukisimamia hatari vizuri, utakuwa na fursa nyingi za kushinda kwa muda mrefu! 🚀📈
🙏
1