
Pamoja Mapendano Serge PMS
February 25, 2025 at 03:09 PM
Que Dieu guérisse complètement et promptement la maladie qui vous dérange au nom de Jésus-Christ .
Voici ce que le Seigneur dit :
👇🏾
Exode 15:26👇🏾👇🏾 .
Bibliya Takatifu :
Kutoka 15:26
[26]akawaambia, Kwamba utaisikiza kwa bidii sauti ya BWANA, Mungu wako, na kuyafanya yaliyoelekea mbele zake, na kutega masikio usikie maagizo yake, na kuzishika amri zake, mimi sitatia juu yako maradhi yo yote niliyowatia Wamisri; kwa kuwa Mimi ndimi BWANA nikuponyaye.
And said, If thou wilt diligently hearken to the voice of the LORD thy God, and wilt do that which is right in his sight, and wilt give ear to his commandments, and keep all his statutes, I will put none of these diseases upon thee, which I have brought upon the Egyptians: for I am the LORD that healeth thee.
#restons en union de prière !
#pamoja Tutaweza 🙏
✍🏿PMS📱+243 83 66 76 215.