FOOTBALL ARENA🏟️🔥
February 2, 2025 at 06:40 PM
Kwa walioangalia mechi yes utakubaliana na mm kwamba msalaba waliochukua city Leo wanastahili kupata.... credit kwa Arteta jinsi alivyoiseti timu kuanzia kuzuia na kushambulia well organized.....
Arsenal kwenyee kuzuia wanatumia 4-4-2 yaani wanafanikiwa sana kwenyee Kila idara waliwapa city maswali magumu yaliyokosa majibu Leo..yaani Kuanlock defense ya arsenal....
Kwenyee attacking arsenal ni idadi ya watu wanne Pekee ambao ilikua inabaki nyuma yaani Myles skelly, saliba, Big Gabby na Thomas Patrey...alafu wengine wote yaani rice na timber wanaongezeka kwenyee laini ya kushambulia kutengeneza overload kwa mabeki wa city.....
Arsenal Leo wamewin kihalali lakini city sijui kwa nn bado anashika Ile nafasi yaani Wana mambo mengi ya kufanya sanaaa yaani poor ....
Nanweri na Myles skelly..big talent ✨✨✨✨
Rice na Patrey kwenyee kiungo alooh ..nikiwaza arsenal wanamtaka pia zubi nashiwa nguvuuu mh🤔
Man city nn kimewakuta Yani...poor making with poor organization...
Leo city wamepewa darasa huru gurdiola ...