FOOTBALL ARENA🏟️🔥
21 subscribers
About FOOTBALL ARENA🏟️🔥
Pata uchambuziii wa mechi mbalimbali za league pamojaa na transfer news Pia jifunzee kuhusu football na pia kupata ujuzi wa kufahamu video analysis Channel link https://whatsapp.com/channel/0029VaSIJBS9hXFChVWasL0a
Similar Channels
Swipe to see more
Posts
Kwa walioangalia mechi yes utakubaliana na mm kwamba msalaba waliochukua city Leo wanastahili kupata.... credit kwa Arteta jinsi alivyoiseti timu kuanzia kuzuia na kushambulia well organized..... Arsenal kwenyee kuzuia wanatumia 4-4-2 yaani wanafanikiwa sana kwenyee Kila idara waliwapa city maswali magumu yaliyokosa majibu Leo..yaani Kuanlock defense ya arsenal.... Kwenyee attacking arsenal ni idadi ya watu wanne Pekee ambao ilikua inabaki nyuma yaani Myles skelly, saliba, Big Gabby na Thomas Patrey...alafu wengine wote yaani rice na timber wanaongezeka kwenyee laini ya kushambulia kutengeneza overload kwa mabeki wa city..... Arsenal Leo wamewin kihalali lakini city sijui kwa nn bado anashika Ile nafasi yaani Wana mambo mengi ya kufanya sanaaa yaani poor .... Nanweri na Myles skelly..big talent ✨✨✨✨ Rice na Patrey kwenyee kiungo alooh ..nikiwaza arsenal wanamtaka pia zubi nashiwa nguvuuu mh🤔 Man city nn kimewakuta Yani...poor making with poor organization... Leo city wamepewa darasa huru gurdiola ...
Anapaswa kuingia sokoni kutafuta shilingi sita haraka sana na full back wa kulia otherwise ..watasota sanaaaa Sijui pep amewaza nn ila nafikiri foden, savinho na Silva hawapaswi kuanzia pamoja kabisaaa..timu inakosa balance
REMOTANDA REAL MADRID Yoo this team is insane asee kuwauzuia inahitaji moyo... Madrid anapoingia uwanjani ni 4-2-3-1 alafu kwenyee kuzuia wanaenda na 4-4-2 yaani aseee Wanamaker sure wanakuwa compact licha ya kuwakosa wachezaji wao wa muhimu eneo la CB yaani they are comfortable Again Madrid Ile font line yao ya watu 3 it's superb yaani chenga ....mikimbio kubadilishana nafasi they are all doing good 😊😊 Note : Nawezaa kusema Leo city sikuwaelewa kabisa jinsi ambavyo walikua wanakaba yaani team ipo hoi bin taaban Vini, Mbappe na Bellingham yaani Hawa watoto hawaa wataua watu siku moja CAMAVINGA at the middle doooh 🔥🔥🔥 alafu Kuna kitasa Raul asencio pale nyuma yaani Spain mwaka huu Wana utajiri mkubwa sana wa kikosi kazi amepiga sana Ederson akiwa na mali mguuni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥