FOOTBALL ARENA🏟️🔥
February 11, 2025 at 10:09 PM
REMOTANDA REAL MADRID
Yoo this team is insane asee kuwauzuia inahitaji moyo...
Madrid anapoingia uwanjani ni 4-2-3-1 alafu kwenyee kuzuia wanaenda na 4-4-2 yaani aseee Wanamaker sure wanakuwa compact licha ya kuwakosa wachezaji wao wa muhimu eneo la CB yaani they are comfortable
Again Madrid Ile font line yao ya watu 3 it's superb yaani chenga ....mikimbio kubadilishana nafasi they are all doing good 😊😊
Note : Nawezaa kusema Leo city sikuwaelewa kabisa jinsi ambavyo walikua wanakaba yaani team ipo hoi bin taaban
Vini, Mbappe na Bellingham yaani Hawa watoto hawaa wataua watu siku moja
CAMAVINGA at the middle doooh 🔥🔥🔥 alafu Kuna kitasa Raul asencio pale nyuma yaani Spain mwaka huu Wana utajiri mkubwa sana wa kikosi kazi amepiga sana
Ederson akiwa na mali mguuni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥