
ElimikaWikiendi
February 15, 2025 at 09:50 AM
VIDEO 📽️
Moja kwa moja kutokea Dar es Salaam leo kwenye #elimikawikiendi tunabonga na Zipporah, mwanamuziki na mjasiriamali anayetumia majukwaa ya kidijitali kujinadi na kunadi biashara zake.
Hapa anazungumzia kwanini alijiunga Elimika Wikiendi na ananufaikaje na jukwaa. Msikilize!
❤️
👍
🤝
4