
ElimikaWikiendi
26 subscribers
About ElimikaWikiendi
Karibu kwenye channel rasmi ya jukwaa la elimu kwa njia ya mtandao Tanzania. Elimu kwa jamii inaendelea hapa #elimikawikiendi.
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

Kusikiliza maoni yao na kuwasaidia kupaza sauti zao ni msingi wa mabadiliko chanya tunayotaka kuona ndani ya jamii na taifa. Hivi karibuni kwenye ElimikaWikiendi.

Video 📽 Jifunze namna bora ya kukuza brand yako. #ElimikaWikiendi

VIDEO 📽️ Moja kwa moja kutokea Dar es Salaam leo kwenye #ElimikaWikiendi tunabonga na Zipporah, mwanamuziki na mjasiriamali anayetumia majukwaa ya kidijitali kujinadi na kunadi biashara zake. Hapa anazungumzia kwanini alijiunga Elimika Wikiendi na ananufaikaje na jukwaa. Msikilize!