ElimikaWikiendi
ElimikaWikiendi
February 22, 2025 at 08:20 AM
Baada ya kufahamu tabia za wazazi zinazoweza kuathiri malezi na makuzi ya watoto, sasa tuangalie kuhusu malezi chanya ya watoto. Kwenye #elimikawikiendi leo tumezungumza na @witty_kat, na huu ndio ushauri wake kwa wazazi na walezi.

Comments