
ElimikaWikiendi
February 25, 2025 at 03:46 PM
Hizi ni tovuti 10 kwa ajili ya masomo ya bure mtandaoni
Zitafute hizi kwenye Google:
1. Coursera
2. edX
3. Khan Academy
4. Udemy
5. iTunesU Free Courses
6. MIT OpenCourseWare
7. TED-Ed
8. Stanford Online
9. Codecademy
10. Open Culture Online-Courses
👍
1