
ElimikaWikiendi
February 25, 2025 at 03:52 PM
Coursera
Kozi ya kujifunza ujuzi utakao kuwezesha kufanikiwa katika biashara.
Baadhi ya vitu unavyoweza kujifunza ni entrepreneurship, business strategy, marketing, finance, & management.
OpenLearn
Kozi maalum iliyojikita katika masuala ya business Management na Personal branding
https://www.open.edu/openlearn/money-management/free-courses
Future Learn:
Business & Management Courses
Ongeza ufanisi kwenye biashara yako na kuboresha usimamizi kwa kujifunza kozi mbalimbali kama vile communication, networking na leadership.
https://t.co/Bszn6U8wQu
👍
1