ElimikaWikiendi
ElimikaWikiendi
February 26, 2025 at 06:33 AM
Jinsi ya kufanya Programu tumizi (Application) zifanye kazi vizuri. Kutokana na kutumia mtandao kwa muda mrefu baadhi ya application hubeba vidakuzi na huwa nzito kufanya kazi vizuri. Zifuatazo ni hatua za kufanya Apps zako virun vizuri 1. Ingia kwenye settings 2. Chagua Apps 3. Chagua Apps husika kama vile Twitter, Mpesa n.k 4. Chagua storage 5. Clear cache
👍 1

Comments