
SamWaMiiracareTz
February 14, 2025 at 08:57 PM
🐫 *DALILI ZA KISUKARI (SYMPTOMS)*
📌 Dalili za Kisukari hutegemea kiasi gani cha sukari kwenye damu ipo.
📌 Baadhi ya watu hasa wenye *prediabetes* , *gestational* *na type 2 diabetes* , anaweza was iwe na dalili.
📌 *Kisukari Type 1* , dalili zake huja haraka sana na zinaumiza ( *more severe* )