
SamWaMiiracareTz
11 subscribers
About SamWaMiiracareTz
Karibu kwenye channel yetu ya WhatsApp! 🌿🌟 Hii ni channel maalum inayojihusisha na kutoa elimu, ushauri, habari, na Dondoo za Afya kuhusu Lishe Tiba za *Plants based Stem Cell na Tiba za mionzi ya asili (Phototherapy) ambayo hutumii dawa wala sindano kupona changamoto yako*, zinazosaidia kuponya magonjwa mbalimbali kwa ngazi ya seli. Tunatoa huduma bora kwa lengo la kuboresha afya yako na kukupa maisha yenye nguvu na afya tele. Tunapatikana, Dar es Salaam, Tanzania. Jiunge nasi ili upate maelezo zaidi na ushauri wa kitaalamu kuhusu afya yako. *Afya ni Utajiri!* 🌱 --- WhatsApp, +255 782 714 546 (Dr Samaya, SamWaMiiracareTz, Dar es salaam, Tanzania.
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

*Habari, Mpendwa!* 🌟 Leo, tunazungumzia jinsi mtu anavyoweza kuongeza uzalishwaji wa seli mwilini kwa kutumia x-39 bila ya kutumia dawa yoyote. *Kivipi X-39 Inafanya Kazi?* X-39 inatumia teknolojia ya phototherapy ambayo inasaidia kuhamasisha mwili kujitibu wenyewe kwa kutumia mwanga. *Patches za X-39:* Patches hizi zinafanya kazi kwa kuakisi mwanga wa infrared na ultraviolet, ambayo inasaidia kuongeza uzalishwaji wa seli za mwili bila kuingiza kemikali au dawa yoyote mwilini. *Faida za Kutumia X-39:* ✓Kuongeza Nishati: Husaidia kuongeza viwango vya nishati mwilini. ✓Kurekebisha Mzunguko wa Damu: Inaboresha mzunguko wa damu, ambayo ni muhimu kwa afya ya seli. ✓Kuimarisha Mfumo wa Kinga: Inasaidia kuboresha mfumo wa kinga wa mwili. *Jinsi ya Kutumia X-39* Weka patch kwenye ngozi sehemu ambayo ni rahisi kufikia. Ili kupata matokeo bora, tumia patch kila siku kama itakavyopendekezwa. Note: X-39 ni njia salama na ya asili ya kuongeza uzalishwaji wa seli salama bila ya dawa yoyote.


Hizo zenye muonekano wa viduara na patches, ambayo hata mike tyson aliibandika kwenye sehemu ya kati ya kifua kwenye hiyo video hapo juu. Hii patch ndiyo inayo reflect mionzi yako ya ndani ya sili ya infrared na ultraviolet na kupelekea cell proriferation kisha mwili kuwa na uwezo wa kujiponya wenyewe. Hii ni best solution kwa wale ambao hawaamini kwenye Tiba za asili za seli shina zilizopo kwenye mfumo wa power Hii ni salama zaidi kwa sababu hakuna unachoingiza mwilini sio vidonge wala sindano.


Angalia mike tyson akiwa anafanya mazoezi akiwa amepandika Phototherapy patch ya X-39 kwenye kifua chake. X-39 inasaidia uzalishwaji wa normal cell na kusawazisha nishati mwilini na ndiyo maana amebandika kifuani. *Wenzetu wanajua kuhusu phototherapy na faida zake*

🌙✨ Eid El-Adha Mubarak ✨🌙 Kwa moyo wa upendo na shukrani, nakutakia wewe na familia yako Eid El-Adha yenye baraka tele, furaha isiyo na kifani, afya njema na amani ya kweli. Allah akubali ibada zenu, adumishe upendo na mshikamano katika familia yenu, na awajalie maisha yenye baraka na mafanikio. Taqabbal Allahu minna wa minkum. Eid njema kwenu nyote! 🐑🕌❤️

Kuna kipindi kwenye maisha unatamani ujitenge na watu. Uende mbali ukawe peke yako. Unahisi kuto kupendwa tena, hausikilizwi, hautopona changamoto yako ya kiafya, upweke wa hali ya juu. Unakosa msaada japo wa maneno ya faraja na ya kukutia moyo 😔 😭 Ndio, napitia sahizi 🥺 Nilipitia sahizi angalau 💔 Hata sijui nataka nini 💘 Sijakata tamaa naamini nitashinda *Jibu kwa emoji inayobeba jibu lako halisi.*

*Hizi ni miongoni mwa faida chache* Hii ni kwa ajili ya wanawake