
SamWaMiiracareTz
February 14, 2025 at 09:01 PM
🐫 *SABABU ZA KISUKARI (CAUSES)*
📌 Kuelewa Kisukari ni vyema na muhimu Kuelewa jinsi gani mwili hutumia *glucose*
📌 *JINSI GANI INSULIN HUFANYA KAZI*
🦠Insulin ni hormone ambayo Hutokea kwenye sehemu ya tumbo inayoitwa kongosho ( *Pancreas* )
🦠Kongosho ( *pancreas* ) hutiririsha insulin kwenye mzunguko wa damu.
🦠Insulin huzungusha, na kuruhusu glucose iingie kwenye cell.
🦠Insulin hupunguza kiasi cha sukari kwenye mzunguko wa damu.
🦠Kiwango cha Sukari kwenye damu kikishuka, hapo ndio kongosho hutoa insulin.
👍
1