SamWaMiiracareTz
February 14, 2025 at 09:03 PM
🐫 *KAZI YA GLUCOSE NI NINI*
📌 Glucose ni sukari kwenye damu na ni chanzo cha nishati kwenye cell ambazo hutengeneza misuli na tishu ( *muscles na tissues)*
📌 Glucose Hupati kana kutoka kwenye vyanzo viwili (2)
✅ Chakula *(food)*
✅ INI *(Liver)*
📌 *Glucose* huzama kwenye mzunguko wa damu, ambapo huingia kwenye cell kwa msaada wa insulin.
📌 INI (Liver) hutunza na kutengeneza glucose, Wakati kiwango cha glucose kikiwa chini yaani Ukiwa hujala kitu,
📌INI huvunjavunja sukari iliyotunzwa ( *glycogen* ) kuwa *glucose*.
📌 Hii Hufanya kiwango cha glucose kuwa kinachotakiwa ( *typical range)*
❤️
1