SamWaMiiracareTz
SamWaMiiracareTz
February 14, 2025 at 09:04 PM
🐫 Kisababishi hasa ya aina za Kisukari huwa haijulikani, vyovyote hivyo sukari hujijenga kwenye mzunguko wa damu. 📌 Kwa sababu kongosho ( *pancreas* ) haitoi insulin ya kutosha ( *enough insulin* ) 📌Aina zote za Kisukari yaani type 1 na type 2 husababisha na mkusanyiko wa sababu za ✅Kijenetiki ( *kigenetic* ) ✅ Kimazingira ( *environmental* )
😢 1

Comments