SamWaMiiracareTz
SamWaMiiracareTz
February 14, 2025 at 09:07 PM
🔥 *VIHATARISHI VYA KISUKARI* (RISK FACTORS) 🦂Vihatarishi vya Kisukari hutegemea na aina ya kisukari. 🦂Historia ya Familia huwepo kwenye aina zote za Kisukari. 🦂Sababu za Kimazingira ( *environmental factors* )na za kijographia Huongeza uhatari wa Kisukari type 1 🦂 Wakati mwingine watu wenye Kisukari Type 1 huwa Wana tatizo kwenye mfumo wa Kinga ya kisukari( *auto antibodies)*. 🦂Kama una hizi auto antibodies, unakuwa kwenye hatari zaidi kupata Kisukari Type 1. 🦂Lkn sio lazima Ukiwa pia na hizi auto antibodies kuwa na Kisukari. 🦂 Rangi na Koo( *Race na ethnicity)* huiamsha uwezekano wakubwa na Kisukari Type 2. 🦂Ingawa haijulikani kwa nini, watu weusi (black), Hispanic na wahindi Wekundu a waasia wako kwenye uhatari mkubwa. 🦂Kisukari cah mwanzo ( *prediabetes* ) na Kisukari cha ujauzito ( *pregnancy* ) ni visukari vya kawaida kwa watu wenye uzito mkubwa ( *overweight au obesity)*

Comments