SamWaMiiracareTz
SamWaMiiracareTz
February 14, 2025 at 09:19 PM
🐞Tatizo lingine la gestational diabetes ni Upungufu wa sukari damuni( *low blood sugar* ) ✅ Wakati mwingine Mtoto na mama wenye gestational diabetes Hupata kiwango cha chini cha sukari ( *hypoglycemia* ) Baada tu ya kujifunga. ✅Kwa sababu uzalishaji wa insulin uko juu. (high)
👍 1

Comments