
SamWaMiiracareTz
February 14, 2025 at 09:20 PM
🐫 *KUZUIA AU KUJIKINGA NA KISUKARI (PREVENTION)*
✅NI ngumu kuzuia Kisukari Type 1 lakini
✅Unaweza kuzuia dalili za mwanzo za Kisukari (prediabetes, type 2, na gestational kwa Kubadilika mifumo ya ki maisha ( *lifestyle choice*)
🐞Kisukari Unaweza kukizua kwa:
✅ Kula chakula Chenye Afya ( *Eat healthy food* )Kula chakula Chenye Mafuta kidogo, matunda, mboga mboga, na nafaka nzima na Kula aina tofauti usikinai.
👍
1