SamWaMiiracareTz
SamWaMiiracareTz
February 20, 2025 at 11:00 PM
HOMA YA MANJANO Ugonjwa wa Manjano ambao hufahamika kitaalamu kama HEPATITIS B unaosababishwa na virusi viitwavyo flavivirus. ✍🏻Ugonjwa huu huenezwa na mbu aina ya aedes aegypti na ni vigumu kuutofautisha na magonjwa mengine kama malaria, kwenye dalili za mwanzo bila kutumia vipimo. Ugonjwa huu hushambulia seli za kinga mwilini (macrophages, monocytes). ✍🏻Baada ya kuingia ndani ya seli, virusi vya homa ya manjano huzaliana na kuendelea kukua huku wakihama kutoka kwenye seli moja hadi nyingine kushambulia. Virusi huenda kwenye seli za ini na kuanza kuzishambulia na hivyo kusababisha sumu kwenye damu. CHANZO CHA UGONJWA WA MANJANO. 👉🏻Kujamiiana bila kutumia kinga. 👉🏻Kunyonyana ndimi 👉🏻Kuchangia damu isiyo salama 👉🏻Mama mjamzitomwenye ugonjwa huu anaweza kumuambukiza mtoto wake wakati wa kujifungua. 👉🏻Kuchangia vitu vyenye ncha kali kama vile wembe na sindano. DALILI ZA HOMA YA MANJANO 👉🏻Uchovu wa mwili 👉🏻Kichefuchefu 👉🏻Mwili kuwa dhaifu 👉🏻Homa kali upoteza hamu ya kula 👉🏻Kupungua uzito 👉🏻Kupatwa na maumivu makali ya tumbo upande wa ini. 👉🏻Kukojoa mkojo wa rangi nyeusi 👉🏻Macho na ngozi kuwa vya njano. 👉🏻Homa 👉🏻Maumivu ya kichwa 👉🏻Maumivu ya mgongo 👉🏻Kichefuchefu na kutapika ✍🏻Hatua ya pili inaambatana na dalili mbaya zaidi zikiwemo: 👉🏻Jaundice (macho, ulimi na viganja kubadilika kuwa rangi ya njano) 👉🏻Maumivu makali ya tumbo 👉🏻Kutapika damu 👉🏻Kutokwa na damu machoni na mdomoni (hemorrhage) NJIA ZA KUJIKINGA NA HOMA YA MANJANO 👉🏻Vaa nguo ndefu zinazofunika mwili vizuri 👉🏻Tokomeza mazalia ya mbu 👉🏻Mtu akigundulika kwamba ana homa ya manjano atibiwe haraka ili kuzuia ugonjwa kusambaa 👉🏻Kupatiwa chanjo ya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa huu. 👉🏻Kutumia kinga wakati wa kujamiiana 👉🏻Kuacha kuchangia vitu vyenye ncha kali kama sindano, wembe. 👉🏻Kutochangia mswaki 👉🏻Kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu 👉🏻Kuto ongezewa damu ambayo haijapimwa. TIBA TUWASILIANE KWA 👇🏻👇🏻 https://wa.me/255782714546

Comments