SamWaMiiracareTz
SamWaMiiracareTz
February 28, 2025 at 12:31 AM
*✓Kisukari*:Wanaume wenye kisukari hasa tatizo la muda mrefu wana upungufu wa nguvu za kiume na uume kutosimama kwa nguvu *✓Shinikizo la damu:* Utafiti unaonesha kwamba shinikizo kubwa la damu pamoja na uume kufeli kusimama ni vitu vinavyoenda kwa pamoja.

Comments