
SamWaMiiracareTz
February 28, 2025 at 12:41 AM
*⚠️Hatua 5 Za Kuimarisha Misuli ya Uume Kusimama*
*1.Punguza uzito mkubwa na kitambi.*
Kitambi na uzito ni adui wa afya yako, si tu katika tendo la ndoa, kitambi ni chanzo cha magonjwa mengi. Magonjwa kama kisukari, presha, ugumba na saratani. Katika safari yako ya kupunguza uzito epuka vyakula vya wanga na sukari. Tumia zaidi vyakula vya mafuta mazuri kama samaki, parachichi, nyama, mayai, karanga na nazi.