Royaltourtz
February 11, 2025 at 05:51 PM
" Moja ya mafanikio ya ukusanyaji wa Maduhuli ya Serikali Mbogwe ni uwepo wa Kituo cha Mfano Katente. Bado kuna fursa kwenye masoko yetu ya madini wafanyabiashara wa madini ( Dealers) wanakaribishwa kuwekeza," Afisa Madini Mkazi Mkoa wa Kimadini Mbogwe, Mhandisi Jeremiah Hango
#madininimaisha&Utajiri