Royaltourtz WhatsApp Channel

Royaltourtz

22 subscribers

About Royaltourtz

Ukurasa rasmi wa TANZANIA

Similar Channels

Swipe to see more

Posts

Royaltourtz
Royaltourtz
2/22/2025, 4:55:14 PM

Today, Saturday, February 22nd, has been a wonderful day in *Ngorongoro*, Tanzania! The weather is absolutely perfect, and the wildlife is thriving. We’ve been lucky enough to spot zebras enjoying the sunshine as they roam freely in this beautiful ecosystem.….read more…. https://www.instagram.com/p/DGYegO4NqNT/?igsh=NmJnNm00MG9zYQ==

Image
Royaltourtz
Royaltourtz
2/22/2025, 1:09:42 PM

Ngorongoro today 22 February 2025 #ngorongoro

Video
Royaltourtz
Royaltourtz
2/23/2025, 12:26:39 PM

Today, the excitement is at its peak as the *Kilimanjaro Marathon 2025* kicks off in *Moshi*, Tanzania! Runners from all over the world have gathered to take on the iconic race, set against the backdrop of the majestic Mount Kilimanjaro. 🌍🏔️ The marathon is not just a race but an incredible celebration of endurance, culture, and the beauty of Tanzania. Whether it’s the full marathon, half marathon, or 5K, everyone is united in their pursuit of greatness. Good luck to all participants! 🎉👟 #KilimanjaroMarathon #TanzaniaMarathon #RunForKili #KiliMarathon2025 #TanzaniaTourism #MountKilimanjaro #RaceDay #RunTheWorld #MarathonRunners #ExploreTanzania #AdventureAwaits #Kilimanjaro #SportsTourism #TanzaniaEvents #RunningCommunity

Image
Royaltourtz
Royaltourtz
2/22/2025, 7:04:46 PM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki kwenye hafla ya utoaji tuzo za Wasanii wa Komedi Tanzania (Tanzania Comedy Awards) katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 22 Februari, 2025. #royaltourtzdigitalteam #royaltourtzupdates

Image
Royaltourtz
Royaltourtz
2/22/2025, 12:14:10 PM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akinywa Kahawa inayozalishwa ….soma zaidi…. https://www.instagram.com/p/DGX-U32tUfs/?igsh=MTVnejV4YmZ1bmhzZw==

Image
Royaltourtz
Royaltourtz
2/23/2025, 11:44:56 AM

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Februari 23, 2025 ameungana na wakimbiaji wa Kili Marathon inayojumuisha wakimbiaji wengi kutokea mataifa mbalimbali Dkt. Biteko akiambatana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi, Mkuu wa Kitengo cha Masoko, Bi Joseline Kamuhanda pamoja na Viongozi mbalimbali wanashiriki mbio fupi za KM 5 Fun Run. #royaltourtzdigitalteam #royaltourtzupdates

Video
Royaltourtz
Royaltourtz
2/23/2025, 5:23:04 PM

Siku nzuri kwa mpiga Danadana!! #royaltourtzdigitalteam #royaltourtzupdates

Video
Royaltourtz
Royaltourtz
2/23/2025, 2:54:56 PM

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameiagiza Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kushirikiana na Kampuni ya Kili International Marathon ambao ni waandaji wa mbio za Kili marathon kuhakikisha mbio hizo zinatumika kutangaza vivutio vya utalii vilivyoko nchini….soma zaidi…. https://www.instagram.com/p/DGa1cKoNSmV/?igsh=MWxpZW9yNmhjbDhhbQ==

Image
Royaltourtz
Royaltourtz
2/22/2025, 12:28:20 PM

Watendaji na Maafisa Utalii nchini wametakiwa kufanya kazi kwa uadilifu, kujituma na ubunifu kuhakikisha Sekta ya Utalii inaboreshwa kwa manufaa ya Taifa. Hayo yamesemwa leo Februari 22, 2025 na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) katika Kikao kazi cha wataalamu wa Utalii na Masoko kutoka Idara ya Utalii , Wizara ya Maliasili na Utalii na Bodi ya Utalii kilichofanyika jijini Tanga….soma zaidi…. https://www.instagram.com/p/DGYAA61NBxR/?igsh=ZTJ3d3B6cXpwMnM1

Image
Royaltourtz
Royaltourtz
2/22/2025, 11:57:47 AM

Today, February 22nd, has been a day to remember here in *Ngorongoro*! The weather is perfect, and we’re lucky to witness wildlife in their natural habitat. …read more…. https://www.instagram.com/p/DGX8ZH4tD8A/?igsh=MWc1enU2aWN2NHNsMA==

Image
Link copied to clipboard!