
Royaltourtz
February 13, 2025 at 10:20 AM
*MANUFAA YA RIG ZA STAMICO*
*Rig hii inakupa taarifa nyingi na majibu yako unayapata ndani ya muda mfupi. Rig za uchimbaji ni jambo lililoonekana haliwezi kupatikana, sasa zinatufikia wachimbaji,” Mhandisi Rogers Semgaya, Mshauri Elekezi katika uchimbaji Mdogo na wa Kati*
—————————————
*Tuna rig Serikali imetuletea utapata sampuli, kuna maabara utapelekea utapata majibu utajua nini ufanye. Tumetoka kujifunza Sasa tunatekeleza,” Christopher Kadeo mchimbaji mwenye uzoefu wa miaka 40 katika shughuli za uchimbaji mdogo*
————————————
*”Rig hizi ni Kwa ajili ya kuchukua sampuli chini ya ardhi. Kwa makadirio kazi inachukua hadi siku Siku Sita (6) lakini pia inategemea aina ya miamba ,” Msimamizi wa Timu ya Uchorongaji Lwamgasa kutoka STAMICO, Mjiolojia Nachindala Kazingumbe
#royaltourtzdigitalteam
#royaltourtzupdates