Royaltourtz
Royaltourtz
February 14, 2025 at 08:49 AM
Serikali kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) imesaini Hati za Makubaliano (MoU) na Kampuni za GF Truck, Apollo Heavy Equipments, na META kwa lengo kurahisisha upatikanaji wa mitambo ya kisasa kwa wachimbaji wadogo nchini. …soma zaidi…. https://www.instagram.com/p/DGDAksytOQi/?igsh=MTdqbHI3MTJlbXhlOA==

Comments