Royaltourtz
Royaltourtz
February 15, 2025 at 07:49 AM
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Kimataifa ya Kuendeleza Nishati ya Jua (ISA), Dkt. Ajay Mathur yenye Makao Makuu yake nchini India….soma zaidi…. https://www.instagram.com/p/DGFdF3ZtN4z/?igsh=cXl3aTJ6bzZ0cjlj

Comments